MamaLishe

MamaLishe Mobile Application

Category : Books
Yayınlanma Tarihi: 2/19/2021


Description

MamaLishe: ni simulizi inayohusu maisha, mahusiano, vitendo vya kishirikina, mateso, mapambano na nguvu ya maombi. Ni simulizi inayoonyesha madhara ya wanandoa kujisahau wawapo sehemu mbalimbali. Huonyesha jinsi nguvu ya ushirikina ilivyoharibu maisha ya watu wengi wasio na hatia. Lakini pia huonyesha uwezo wa Mungu aitwapo kwa bidii. Sadaka ina nguvu na nguvu yake inajidhihirisha hapa hasa inapohusishwa damu ya Yesu.

Keywords

hadithi, simulizi, Abraham